Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee
Ilo vazi uwa linaniua 🤪
Dashiki suit on point.
Ila picha umeibania.... Iongezweeee


La kimasai iloo.....Takwenyaaa?
Wanawake mkivaa aina hii ya suit na kama umejaaliwa, unatokelezea muno🙊

Picha itarudiwa kama ilivyoamliwa kwenye kikao cha leo jioni 😄

Hilo jina kumbe lina asili ya Umasaini?? I didn't know.

Takwenyaa ina maana gani??
 
Back
Top Bottom