Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Na nilegee.hallelujahKuna kitu unataka kuninyima wewe mrembo ushindwe...
Na nilegee.hallelujahKuna kitu unataka kuninyima wewe mrembo ushindwe...
SafiHivyo ndivyo inavyotakiwa mrembo
Wakati fulani yapata majuma mawili hivi nyuma nilizama kwenye lindi la maombi nikimsihi Bwana kitu kimoja tu.
Nilimsihi ampe mtumishi mwenzanu Anne maisha marefu yenye mafanikio tele
Nilifarijika sana siku ya mwisho nikiwa magotini niliposikia 'mtu wa rohoni' akisema na mimi
Aliniambia, 'Pep mwanangu, inuka sasa uketi na ukale, IMEKUA'
Nilifurahi sana nikatoa 'dhabihu'






Kuna wine walinitajia wadau.Hahaha.......niambie nikulete unywe mbele yangu, hao wengine watapata kilichojiri kupitia Mimi hapa jukwaani.
Kwahiyo nikuletee aina gani??
Ninong'oneze PM nikuleteeKuna wine walinitajia wadau.
Wametaja nyingi hadi zimenivuruga,nishasahau majina Sasa.
Siwezi kulewa mimi,kwanza hakuna kitu hicho.
Kunenepa ni hadi niamue mwenyewe.Ninong'oneze PM nikuletee
Ikikupenda utashangaa inakunenepesha, tena ukipiga na mdudu ndiyo utatisha zaidi

SafiNinong'oneze PM nikuletee
Ikikupenda utashangaa inakunenepesha, tena ukipiga na mdudu ndiyo utatisha zaidi
Wa kienyeji sijathubutu kukuta lipsi zako ila nimekuta sifa sitahikiSafi
Koh koh koh .......🙊Safi
Nitakutafuta nikunyweshe hadi utembee kwa kutambaa. Niko njiani naja 😜Kunenepa ni hadi niamue mwenyewe.
Sasa mkuu nakunong'onezaje wakati hata sizijui na majina sijakariri,,wamenitajia nyingii majina magumu ili nichanganyikiwe.
Wewe niletee yoyote yenye sukari na isiyonuka kama kinyesi.
Nipo hapa Uyole boss,Asante Sana![]()
Sihitaji kunywa kwa sifa,nataka nione kama kulewa kupo au tunapigwa tu kamba.Nitakutafuta nikunyweshe hadi utembee kwa kutambaa. Niko njiani naja![]()
Usisahau oda ya mbuzi choma pembeni yenye pilipili za kutosha 😋🥂Sihitaji kunywa kwa sifa,nataka nione kama kulewa kupo au tunapigwa tu kamba.
Ukifika tu Uyole sema boss.
Ohoo..changanya vyote tu mkuu.Usisahau oda ya mbuzi choma pembeni yenye pilipili za kutosha![]()
Koh koh koh....Ohoo..changanya vyote tu mkuu.
Hata ikizidi haina shida mkuu.Koh koh koh....
Pilipili naona imezidi![]()
Saint AnneOhoo..changanya vyote tu mkuu.
Kho!Koh koh koh .......🙊