Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,250
- 90,442
Hahaha ndo nipo studio na camera man nazipigaTupicha jamaniii
Hahaha ndo nipo studio na camera man nazipigaTupicha jamaniii
Wanapendeza sana.Wanawake mkivaa aina hii ya suit na kama umejaaliwa, unatokelezea muno🙊
Picha itarudiwa kama ilivyoamliwa kwenye kikao cha leo jioni 😄
Hilo jina kumbe lina asili ya Umasaini?? I didn't know.
Takwenyaa ina maana gani??
Jirani jirani, vibaya hivyo jirani🙆Gesi iliyokuwepo kwangu ni kwa matumizi mengine mpendwa
Wewe pia ni mmoja wao, i saw you from the distance 🙈Wanapendeza sana.
Irudiweee NOW!
😃😃
Takwenya ni salamu....
Hahahaha mkuu unataka kupasha kiporo sioJirani jirani, vibaya hivyo jirani🙆
Nisave leo tu jirani nipashe Kiporo 🙊🏃🏻
😀😀😀😀Una kauchokozi mpendwaHahahaha mkuu unataka kupasha kiporo sio
Yaani naona dalili ya kulala na njaa nisipopasha kiporoHahahaha mkuu unataka kupasha kiporo sio
Gesi hapashi kiporo ?Gesi iliyokuwepo kwangu ni kwa matumizi mengine mpendwa
Hahahaha mpendwa si unajua nanogesha kdg😀😀😀😀Una kauchokozi mpendwa
Gesi yangu ina matumizi ya kupasha mwili wa Mtu kama anaweza ajeGesi hapashi kiporo ?
Hahahaha jaza gesi mkuu upashe kiporoYaani naona dalili ya kulala na njaa nisipopasha kiporo
Oooh kazi kwakeGesi yangu ina matumizi ya kupasha mwili wa Mtu kama anaweza aje
Hahaaaaaa. ... I'm not among them.Wewe pia ni mmoja wao, i saw you from the distance 🙈
Ukishasema Takwenya unatakiwa kuitikia vipi??
Mi najua ile salamu yao ya Subhai 🏃🏻
HahahahaZa boxer na g-string![]()