GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 20,060
Ndio ndio JP alitaka hadi kumuoza mtoto wake wakike wakatianazindua hicho kiwanda😂😂Yupo vizuri
Ndio ndio JP alitaka hadi kumuoza mtoto wake wakike wakatianazindua hicho kiwanda😂😂Yupo vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndio JP alitaka hadi kumuoza mtoto wake wakike wakatianazindua hicho kiwanda[emoji23][emoji23]
Mama Mchungaji nini mbaya? Nikuletee nini jirani ?Weeeeeeeeeeeeeee
Matajiri wa mbozi hao[emoji4]Hii kahawa ni [emoji91][emoji91]
Matajiri wa Mbozi [emoji848]
Wapumzike kwa Amani.TANZIA
Taarifa zikizotufikia hivi punde ni kuwa tumewapoteza Bw na Bibi Charles Keenja hapo Seifee Hospital.
RIP Bw na Bibi Charles Keenja[emoji2297][emoji2297][emoji24][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Mama Mchungaji nini mbaya? Nikuletee nini jirani ?
Sawa jirani, see you soonAisee zabibu na wale kuku wa kuchoma
Mbona hauonekani vizuri sasa?View attachment 1881392
Chat na Picha
CC Nuzulati , Chakorii , Heaven Sent , Saint Anne ,Karma
Dear Chilita mbona umechagua jina gumu hivyo la Kigogo?MBUKWENYU [emoji1][emoji1322][emoji1322]
Umependeza na hiyo sutiView attachment 1881392
Chat na Picha
CC Nuzulati , Chakorii , Heaven Sent , Saint Anne ,Karma
Dear Chilita mbona umechagua jina gumu hivyo la Kigogo?MBUKWENYU [emoji1][emoji1322][emoji1322]
Utanisamehe jirani, picha hiyo ni ya mwaka 77 kwahiyo quality haikuwa nzuri kwa device niliyotumia enzi zile 😄🙊🏃🏻🏃🏻Mbona hauonekani vizuri sasa?
Shida sio quality, yani umei-crop sana; fanya kuiongezaUtanisamehe jirani, picha hiyo ni ya mwaka 77 kwahiyo quality haikuwa nzuri kwa device niliyotumia enzi zile [emoji1][emoji87][emoji1322][emoji1322]
Rafiki picha yangu ya Ujana enzi za Mwalimu, kwahiyo Camera yenyewe haikuwa na ubora sana kama hizi zenu za kidigitali 🙊🏃🏻🏃🏻Umependeza na hiyo suti
Ila huonekani vizuri.
Kwahiyo unataka Irudiwe Irudiwe 😄Shida sio quality, yani umei-crop sana; fanya kuiongeza