Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwenye ile picha kuna kiti safi kabisa cha mtumishi mwenzangu kuketi....tutaonana hapo kabla ya Mbinguni

Taswira zote ulizo nazo kuhusu baba mtumishi zina ukweli
Mwee baba Mtumishi
Unajua dunia ya sasahivi naweza kuchomoka hata kesho,,
Sasa kukusubiri hadi tukaonane Mbinguni siyo leo wala kesho.
Fanya namna baba,mama Mtumishi anataka akuone roho yake ifurahi.
 
Kila kilevi kina kiasi chake cha kulewesha kimeandikwa kwenye Chupa, let's bia X ina 4.8% alcohol kwahiyo ukinywa chupa labda 5 manake utakuwa na kilevi kichwani 24%.

Tena kama itakuwa mara yako ya kwanza lazima uone Dunia inazunguka live
Sidhani kama kuna kitu kinaitwa" kulewa"
Mimi nahisi huwa wanatupiga tu kamba aisee,inakuwaje mtu alewe!?!!

Mimi nadhani siwezi kulewa.
 
Mwee baba Mtumishi
Unajua dunia ya sasahivi naweza kuchomoka hata kesho,,
Sasa kukusubiri hadi tukaonane Mbinguni siyo leo wala kesho.
Fanya namna baba,mama Mtumishi anataka akuone roho yake ifurahi.
Wakati fulani yapata majuma mawili hivi nyuma nilizama kwenye lindi la maombi nikimsihi Bwana kitu kimoja tu.

Nilimsihi ampe mtumishi mwenzanu Anne maisha marefu yenye mafanikio tele

Nilifarijika sana siku ya mwisho nikiwa magotini niliposikia 'mtu wa rohoni' akisema na mimi

Aliniambia, 'Pep mwanangu, inuka sasa uketi na ukale, IMEKUA'

Nilifurahi sana nikatoa 'dhabihu'
 
Back
Top Bottom