Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,852
- 57,531
Tena unakuta kama vile barabara/njia ina mashimo ya kutosha wakati in normal case ni plain 😀dunia inazunguka
Subiri aje atoe ushuhuda hapa
Tena unakuta kama vile barabara/njia ina mashimo ya kutosha wakati in normal case ni plain 😀dunia inazunguka
Umemisika mkuu
Shikamoo mkuuUsiku wa deni haukawiii kukucha.
Nakukumbusha.
Chako kama Chakoriiutakuwa Mganga wa kienyeji Mpiga ramli kama za ankali wangu
Mamaa misosi ulipotelea wapi
Niko macho mno. Nawazoom tu hawa mabaharia. Utatoka hapo Lamadi fasta moja kwa moja airport Mwanza. Hawatapata kituDaddy atahakikisha binti yake nafika salama



Asante Daddy SYB kwa kunilinda🧚♀️🧚♀️Niko macho mno. Nawazoom tu hawa mabaharia. Utatoka hapo Lamadi fasta moja kwa moja airport Mwanza. Hawatapata kitu![]()
HahahahaWeeeee usiniambie bhana
Hahahaha najaribu kusahau ..kipenzi ndo naamka sasa nipe ratiba
Kilinge cha Msata kimekosa mrithi? Na makafara nayo yanalilia damu mbichi. Nini kifanyike?

......Asante Daddy SYB kwa kunilinda🧚♀️🧚♀️
Nayataka niletee huku burigi