Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,451
Hahahaha kwahiyo nimekosa totoz ? Daheti kijeshi kwa wataalam.washakusoma ni binti unaependa mabembelezo asa wale man sauti kavu wamekukosa.
Hahahaha kwahiyo nimekosa totoz ? Daheti kijeshi kwa wataalam.washakusoma ni binti unaependa mabembelezo asa wale man sauti kavu wamekukosa.
Vinukta sasa......
Hangera umejua kukaza mbavu umetoa Kitafunwa kizuri
Hahahaha lamadi hawajamboVinukta sasa
Hongera kwa kuamka sasa hivi.nina ratiba basi...woiHahahaha najaribu kusahau ..kipenzi ndo naamka sasa nipe ratiba
Kwa kipindi nilichotoka hawajambo.kwa sasa sijajua.Hahahaha lamadi hawajambo
Hahaha ngoja nikatafute kongoro kwa shayoHongera kwa kuamka sasa hivi.nina ratiba basi...
Tupia hy avatar yakoChat na picha
Hapo umenena kabisaHahaha ngoja nikatafute kongoro kwa shayo
HahahahaHapo umenena kabisa
Hahahaha msalimie 'dady SYB'Kwa kipindi nilichotoka hawajambo.kwa sasa sijajua.
Ungeanza wewe mkuuTupia hy avatar yako
Hahahaha sawa mkuuUngeanza wewe mkuu
Hivi uliwahi kutuma hata ukucha mkuu wenzio wote picha zetu zipo maktaba isipokuwa weweHahahaha sawa mkuu
Zimefika😊😊Hahahaha msalimie 'dady SYB'
Hahahaha nilishaweka sana tu na zingine mnaniweka bila kujua kuwa mmeniwekaHivi uliwahi kutuma hata ukucha mkuu wenzio wote picha zetu zipo maktaba isipokuwa wewe