Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Someone bring some alcohol 🍷 🍻. I got all the meats.

5662DE08-5F26-46AB-B410-7FA10E855CB1.jpeg
 
Mimi nilishasema humu siwezi kulewa.
Yaani ninywe Halafu nilewe!!nalewaje??
Haiwezekani!
Huwa hainiingii akilini kabisa kama kuna kitu kinaitwa kulewa.
Kila kilevi kina kiasi chake cha kulewesha kimeandikwa kwenye Chupa, let's bia X ina 4.8% alcohol kwahiyo ukinywa chupa labda 5 manake utakuwa na kilevi kichwani 24%.

Tena kama itakuwa mara yako ya kwanza lazima uone Dunia inazunguka live 😀
 
Kila kilevi kina kiasi chake cha kulewesha kimeandikwa kwenye Chupa, let's bia X ina 4.8% alcohol kwahiyo ukinywa chupa labda 5 manake utakuwa na kilevi kichwani 24%.

Tena kama itakuwa mara yako ya kwanza lazima uone Dunia inazunguka live [emoji3]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dunia inazunguka
 
[emoji23][emoji23][emoji23] juhudi zenu zilishazaa matunda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siwezi kuwaangusha kabisa,ISO anaongea huku anasisitiza kwa ujasiri"piga vyombo wewe"[emoji1787]
Ila mmefight sana aiseeee[emoji23][emoji23]nguvu zenu hazijapotea bure,amini nawaambia.

Kesho naleta picha ya wine humu.
Usiku wa deni haukawiii kukucha.

Nakukumbusha.
 
Back
Top Bottom