Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
🥰🥰[emoji898]View attachment 1879126
🥰🥰[emoji898]View attachment 1879126
Asante sana mkuu.veri suniSawa safari ijayo karibu tena
Heee wewe inanuka kama nini👎👎Hiyo dompo Kuna mtu niliona anakunywa,inanuka kama mavi, siwezi hata kutia mdomoni.
Asante Daddy nitakustua mapema sana 😊😊Siku nyingine ukipita hiyo mitaa we nishtue tu binti yangu [emoji1545]
DuhFisher leo umefika selfika!?!!
Tupia picha yako tuone.
[emoji1787]Kama kinyesiHeee wewe inanuka kama nini[emoji107][emoji107]
Wew dawa yako unapiwa Long Island moja tu.mahubiri lazima yakate nakwambia[emoji1787]Kama kinyesi
Hope umebeba samaki.[emoji3059][emoji3059]
Isiwe tu inanuka kama hiyo dompo sijui amarula sijui amalura hata sielewi inaandikwaje[emoji1751]Wew dawa yako unapiwa Long Island moja tu.mahubiri lazima yakate nakwambia
Hapana sikubeba.labda kwakuwa nimepata mwaliko wa Daddy SYB ninaimani kubwa ya kubebaHope umebeba samaki.
Uje nazo.
Kitendo cha kuzitaja tu tayari tushakupoteza hakuna cha utumishi Tena .Isiwe tu inanuka kama hiyo dompo sijui amarula sijui amalura hata sielewi inaandikwaje[emoji1751]
Yaani hadi Sasa nimetajiwa pombe kibao hadi nachanganyikiwa,sielewi nishike ipi niiache ipi[emoji23]
Mtakatifu kuwa mpole tu usiendelee kusema pombe yetu vibayaIsiwe tu inanuka kama hiyo dompo sijui amarula sijui amalura hata sielewi inaandikwaje[emoji1751]
Yaani hadi Sasa nimetajiwa pombe kibao hadi nachanganyikiwa,sielewi nishike ipi niiache ipi[emoji23]
AsanteKitendo cha kuzitaja tu tayari tushakupoteza hakuna cha utumishe Tena .
Hahahaha utawanyima watu burudani we tupia tu mkuuLindo gani wew tupia hata buti.
Kuanzia leo situpii mpaka siku utakapotupia [emoji1787][emoji125][emoji125]
SHIMBA YA BUYENZE jitahidi afike kwa air boss .[emoji120][emoji28]Hapana sikubeba.labda kwakuwa nimepata mwaliko wa Daddy SYB ninaimani kubwa ya kubeba
Keyword Daddy SYB'Hapana sikubeba.labda kwakuwa nimepata mwaliko wa Daddy SYB ninaimani kubwa ya kubeba
Ndio hii kifupi ni Daddy SYB ?SHIMBA YA BUYENZE jitahidi afike kwa air boss .[emoji120][emoji28]
😄kipenzi nini kimetokea kwaniKeyword Daddy SYB'