Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20210531_171928_7.jpg


Hata kama nilisema nina hamu ya karanga, ndiyo mnipe ndoo nzima nimalize kwa kutafuna?😜

Ndiyo maana waliweza kuzaa hata watoto 10 mtu mmoja, in fact they still look stronger and healthier than ever 😅🙊
 
Ngosha car wash karibu na mahakama kuu, muosha magari baada ya kuosha gari Ford Ranger akaenda kutamba Makulu akapata ajali kama inavyoonekana hapo, akapata uchizi wa ghafla.leoView attachment 1877445
Nimeona picha road trip[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka Kama mazuri[emoji1787]

Muwe mnaondoka na funguo Jamani.
 
Back
Top Bottom