Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Ni huo huo wa kwenye avatar wakienyeji.mzima lknWa kienyeji sijathubutu kukuta lipsi zako ila nimekuta sifa sitahiki
Ni huo huo wa kwenye avatar wakienyeji.mzima lknWa kienyeji sijathubutu kukuta lipsi zako ila nimekuta sifa sitahiki
Na hata mileleJana na leo.
Hujambo?
Kumbe huu huu wa kwenye Avatar ambao hata mimi ninaoNi huo huo wa kwenye avatar wakienyeji.mzima lkn
Hata milele ni Mungu tu!Na hata milele
Sijambo mpendwa hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yetu/yangu
Bado sijapona vizuri japo maendeleo si haba mpendwaHata milele ni Mungu tu!
Sisi wanadamu ni jana na leo tu.
Nina imani umepona kabisa
Mbona unacheka bila picha?
nasubiri mguu ukiwa na pete....its been long time
mzeeMida ya kumwagilia moyoView attachment 1880069
Napooza injini baba nimetoka safari ndeeeefu
Pale peponi ntakuwekea siti
Ok fine.Ingekuwa hivyo basi mapadre karibia wote na wakatoliki wangekuwa si watumishi..tungeshawapoteza.
Nshayatupa mimi ni hasara tupu kuyafuga kwasasa
bora umeyatupa mcheki dogo alivyokuwa busy anaitazama clip ya majoka yako😳😳😳wa kienyeji ni bangi umekula ama ni nini aiseKumbe huu huu wa kwenye Avatar ambao hata mimi ninao
Mimi mzima sana tu mkuu hofu kwako wa kienyeji
Dislike.jaribu kuchagua maneno Elly 👎👎👎Nina siku nyingi sana sijaunganisha vikojoleo itakuwa ndo sababu wala siyo bangi wa kienyeji