Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha mkwara
Huwa siitiki mpaka niitwe,subiri ajichanganye sasa uone nitakacho mfanya.

Si unajua lulu huwa nzuri zaidi ikiwa kwenye jumba lake,sasa atoke kwenye jumba aone nitakacho mfanya.
 
Reactions: amu
Kunguru mwoga hukimbiza bawa lake,, we kimbia tu wakujilipua tuko hapa
 
Baharia anakwambia mnamshobokea kwa ID zenu mpya mpya [emoji28][emoji28] hamna techniques za kwenda kuomba namba yake PM daily anawachana huko PM na kuwatimua jamani jamani

Ila we Hannah wewe [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Imebidi azuge ni id mpya maana anajua ni uongo .
Pm imekauka hatari.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuota nako kunaruhusiwa jamani, ipo siku atazifikia ndoto zake.

Ila Kati ya watu hawana credibility ya kumrekebisha mtu mtu nae Ni mmoja wapo. Atuliege tu.
 
Kwani kusifiwa dhambi? Embu acha watu wafanye wanayotaka we kama unajua ukituma yako hatutakusifia jitulize
Hapa namzungumzia mke wangu wa tatu khasa,naona utakuwa umesoma vibaya nilichikiandika.

Mpaka najiuliza kwanini hukujibu nilichokiandika.
 
Hahahahahahahah jamani wewe ni mkorofi hivyo????
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Hayasahauliki kwa kweli.
Mwanamke mkosee akikaa kimya usijidanganye umeshinda, tukiamua kurudisha mashambulizi shetani mwenyewe anakaa pembeni ajifunze kutoka kwetu.
 
Na sasa hivi nimeenda kuangalia kuna uzi naona ameongea na mods waung'oe.
Jana ulikuwepo na nilisoma zote nashangaa Leo zipo mbili tuu.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Ni wazi somo limemuingia mi kwangu ni furaha, hizi fujo sizipendi kabisa lakini inapobidi kuingia nakuwa sina namna,, nimeshakosana na mabaharia wengi tu humu sababu ya hizi fujo......vichwani mwao itakuwa naitwa mama kiherehere but i don't care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…