cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Siwezi kula hicho kidudu mweeeeh.Nyie, mwatia huruma kweli, huyu mdudu mtamu! [emoji1787]
Siwezi kula hicho kidudu mweeeeh.Nyie, mwatia huruma kweli, huyu mdudu mtamu! [emoji1787]
Mie ni mtafiti, najua hilo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa nini [emoji2][emoji2]
. .....Birthday girl[emoji512]View attachment 1777039
Hiyo miziki nimeisikiliza sana aisee miaka hito ya 2000..Wacha wee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Umezaliwa siku moja na crush wako.Birthday girl[emoji512]View attachment 1777039
Amen[emoji120]"Nitayainua macho yangu niitazame milima. Msaada wangu utatuka wapi? Msaada wangu utatuka kwa Bwana..." Zab 121. Muwe na siku njema wapendwa.
Ooh really [emoji847][emoji847] jmn my crush Jack Palladino where are you ? Ukuje uku tukate keki ya selfkaUmezaliwa siku moja na crush wako.
Happy birthday to you dearest[emoji173][emoji1642][emoji1635]
Happy birthday crush wa jojo Jack Palladino [emoji1635][emoji1642][emoji173]
Mungu wa mbinguni awatunze sana,
Nawapenda.
Awabarikini Mungu Baba wa Mbinguni,Mwana na Roho Mtakatifu[emoji120]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mmezaliwa tar 1 aiseee[emoji7],Hii imekaa vizuri..Ooh really [emoji847][emoji847] jmn my crush Jack Palladino where are you ? Ukuje uku tukate keki ya selfka
Eeh ndo maan tukawa macrush mungu atutunze inshallah [emoji120]
Thanks you honey [emoji7][emoji8]
Hahahhaha for me 26 kamili mungu anijalie nifike uzee[emoji2969][emoji2969]Mmezaliwa tar 1 aiseee[emoji7],Hii imekaa vizuri..
Mtuandalie keki sasa tule humu ndani[emoji2960].
Halafu mtaje na miaka yenu jamani[emoji7][emoji7]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hongera mamaHahahhaha for me 26 kamili mungu anijalie nifike uzee[emoji2969][emoji2969]
Hahhaa sema kweli ako kamwili unanizidi 8 sio kweli bwana ukinizidi sana miaka 2 3 ila sio 8[emoji119][emoji119]Hongera mama
26 si haba[emoji847] japo kwangu ni mdogo miaka kama 8 hivi[emoji16]
Mungu na asikie maombi yako[emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Amini usiamini[emoji16][emoji16]nina miaka 34.Hahhaa sema kweli ako kamwili unanizidi 8 sio kweli bwana ukinizidi sana miaka 2 3 ila sio 8[emoji119][emoji119]
Amina mama mtumishi mwemaAmen[emoji120]
..Mbingu na nchi ni Zake,asiuache mguu wako usogezwe.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hallow ongera dada mkubwa