cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Yaan nimeona tyuuh kichefu chefu. KhaaaahIkiwa imepikwa inatisha pia? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Njoo uonje
View attachment 1776509
Hapo kuna mpaka prawns.
Yaan nimeona tyuuh kichefu chefu. KhaaaahIkiwa imepikwa inatisha pia? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Njoo uonje
View attachment 1776509
Hapo kuna mpaka prawns.
Oh maskini hii ngoma ya gari[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
"Dada habari,samahani naomba kuuliza swali"
Endeleza kama unaweza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo mama mchungaji umetuamulia humu ndani.Huyo umbo namba moja ananichanganya
Toka moyoni nasema nampenda sana
Hebu majani piga hilo gitaa zaidi ya santana ili na mimi nimuimbie baba[emoji444][emoji445]
Huyo umbo namba moja watu wote mumuone[emoji445]
Unaitwa nani?
FidQ
Unaishi wapi?
Geto
Kazi yako nini?
Mziki[emoji23][emoji23]
This song[emoji91][emoji91]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Anasema eti niliacha kwenye joho jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Plz naomba nije kukanyaga mafuta ktk huko mchuma.
Hizi nyimbo nazijua sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo mama mchungaji umetuamulia humu ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabla hujanipa A naomba
Piga makofi piga makofi
Piga makofi Tafadhari
Darmian piga makofi
Wewe mangi piga makofi
Rafiki yangu piga makofi
Nasema piga makofi tafadhari[emoji23]
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
Prof J
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Babuuuh nakuja kuzima TV [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na milimaYaan hadi centre ni [emoji269][emoji269][emoji269] tupu lol, ila inapendeza sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeeh [emoji119][emoji119][emoji119]Oh maskini hii ngoma ya gari[emoji1787][emoji1787]
We vipi hebu nipishe
Dada mbona mkali
We kinyago hebu nipishe[emoji23][emoji23][emoji23]
Naitwa Vicky
Nina miaka 22
Ni mtoto wa kipekee kwenye familia ya kitajiri[emoji23]
Zari la mentali limetokea akati mimi nina njaa
Nikapendwa na demu ...
Nakuwaacha watu wote walinishangaa katika mitaa
Mtaalamu J$Juma nature.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ongea na babe Jack Palladino[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee plz naomba niwe m/kiti wa kamati ya harusi, sitakuangusha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti wabana pua, ila wee hapanaHizi nyimbo nazijua sana.
Hakuna bongo fleva ya zamani nisiyoijua..iwe hiphop ama za wabana pua.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Woyoooooooooooh, na MC ntakua mie mwenyewe.Ongea na babe Jack Palladino
Kwenye send off tayari ushapata uennyekiti[emoji16]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyo kiboko khaaaaahAnasema eti niliacha kwenye joho jamani[emoji23]
Kuna watu mbinguni hawaendi[emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Watu wabaya sana mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyo kiboko khaaaaah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Woyoooooooooooh, na MC ntakua mie mwenyewe.
Yaan aliua band kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti wabana pua, ila wee hapana
[emoji23][emoji23][emoji23]Oh maskini hii ngoma ya gari[emoji1787][emoji1787]
We vipi hebu nipishe
Dada mbona mkali
We kinyago hebu nipishe[emoji23][emoji23][emoji23]
Naitwa Vicky
Nina miaka 22
Ni mtoto wa kipekee kwenye familia ya kitajiri[emoji23]
Zari la mentali limetokea akati mimi nina njaa
Nikapendwa na demu ...
Nakuwaacha watu wote wakinishangaa katika mitaa
Mtaalamu J$Juma nature.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Siku hizi nimegeuka mpost meme huko watsap.Yaan aliua band kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23]