Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

"Kumbuka nilikukuta kijijini sigimbi,umebaba gunia na furushi la magimbi"

Twende endelea
Nguvu ziliniishia mithili ya mfa maji
...kama kweli nakuhitaji
Kigori mwenye umbo kama mdori
Wala sikutaraji ungepiga nami stori
Nilifurahi kuweza kukufahamu
Na nikakuahidi subiri zangu salamu
Kwakuwa nilikwenda tu kumsalimia bibi
Yote yaliyljiri kumwelezea bibi
Watu walishangaa kusikia nimepata mchumba
Kwani vijana wengi wa mjini tuna kasumba
Wakaweka kikao niweze kutoa posa
....ingawa ningekutosa
Walinikabidhi kurudi nawe mjini
Na nikakusisitiza mjini kuwa makini

Alikuwa mzuri mithili ya malaika
Alipokuwa mjini ...alikiwa anashika
Hakika alionekana kuwa mgeni wa jiji
Nilipovua viatu nilivikuta ndani ya friji
Alifanya ....washkaji wakanicheka
Hakutaka kitanda alilala kwenye mkeka
Alipokuwa akiona magari alikimbia
Akiona mtu kwenye tv anamwamkia
Kila alichofanya alikuwa anakosea
Nilimvumilia kwa kuwa hajazoea
Hakai kwenye sofa alikuwa anakaa chini
Mafuta ya kupikia eti anapaka mwilini
Namnunulia soda hataki eti anataka togwa
Nikimletea keki hataki anataka boga
Majirani walimpenda sababu ya uzuri wake
Nasikitika mashangingi wakawa rafiki zake
Akaanza kunywa pombe alipokwenda kusuka
Usiku anatoroka tena kwa kuruka ukuta
Nilipokuwa natoka naye nyuma anatoka
Nikimtuma kitu anadai eti anachoka
Nikienda kazini ndani analeta mabwana
Magari ya kifahari yakawa yanapishana
Hakika starehe za dunia zikamteka hatimaye hata nyumbani pia akatoweka

Aiseee huu wimbo ndo naujua kuliko zote..
Nimechoka kutypee

Nikusaidiaje?
Prof$Ferooz

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Pole..aya mama imetosha
 
Ahsante sana cc, nimefurahi mno tena sana, kuna mtu alikua anapenda kuniimbia huu wimbo.
 
Hivi kina Mbosso,Diamond,Baddest47 kijana wa Mwanjelwa huwa unawasikiliza pia?
Hao wa juzi.
Mimi najua mziki wa zamani .

Oh wacha uoga hata Malaria iko namna hii
Unaweza konda kwa Typhoid au TB
Ukinificha unahatarisha maisha
Ni vema ukabainisha ni kipi kinakutisha ee

Namiss old moments.
Darmian kwa heshima ya huyu mwamba Prof J,naomba unitumie ngoma yake mpya nimsikilize.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
No! Huwa napenda hali ya ubaridi kuliko joto japo huku nilipo ni wastani.

Huko kwenu napapenda sbb ya ukijani.
Oh sawa
Kijani imesambaa.

Mimi napenda hali ya hewa ya kawaida mf Dodoma,
Kusiwe na joto sana kama Dar,pia kusiwe na Baridi sana km Mbeya.

Karibu sana Mbeya

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom