T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,487
Juice ya kienyeji
Nitawezana tu.
Nimekupa A+..kumbe upo vizuri hivi kwenye bongofleva?!!Huyo umbo namba moja ananichanganya
Toka moyoni nasema nampenda sana
Hebu majani piga hilo gitaa zaidi ya santana ili na mimi nimuimbie baba[emoji444][emoji445]
Huyo umbo namba moja watu wote mumuone[emoji445]
Unaitwa nani?
FidQ
Unaishi wapi?
Geto
Kazi yako nini?
Mziki[emoji23][emoji23]
This song[emoji91][emoji91]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ah, yule bingwa alikuwa hatari kwa mistari ya wapendanao! 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Song of Solomon
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
He was an expert in that sector[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah, yule bingwa alikuwa hatari kwa mistari ya wapendanao! [emoji1787]
Am telling you, sahi na hii 21st century yetu, angeitwa 'Fisi' for sure! 🤣 🤣 🤣He was an expert in that sector[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kabla hujanipa A naombaNimekupa A+..kumbe upo vizuri hivi kwenye bongofleva?!!
Hahaha!Am telling you, sahi na hii 21st century yetu, angeitwa 'Fisi' for sure! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hivi sasa tushaianza safari ya baridi.Nitawezana tu.
Kumbe baridi imeshika huko pia? 🥶Hivi sasa tushaianza safari ya baridi.
Hii baridi kuisha ni hadi August.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Huku kuna kiwanda cha kuzalisha baridi🤣Kumbe baridi imeshika huko pia? 🥶
Panavutia sana
[emoji23][emoji23]Kabla hujanipa A naomba
Piga makofi piga makofi
Piga makofi Tafadhari
Darmian piga makofi
Wewe mangi piga makofi
Rafiki yangu piga makofi
Nasema piga makofi tafadhari[emoji23]
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
Prof J
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee plz naomba niwe m/kiti wa kamati ya harusi, sitakuangusha.Hapa bado sijaweka ya kwenye Biblia.
Kule kuna mashairi ya kufa mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Yaan hadi centre ni [emoji269][emoji269][emoji269] tupu lol, ila inapendeza sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuh ndo anatishaa hivo mweeeehLobster huyo.