JF hii imebarikiwa sana aisee. Naamini kuanzia sasa nyuzi za kuponda mabinti wa JF kuwa ni wabaya hawana shape zitakuwa zimekufa rasmi. Ashukuriwe mlozi Mshana Jr kuanzisha uzi huu. Hata wanaotafuta wenza washindwe wenyewe tu. Na hapa unaweza kufuatilia mtu anavyoposti na kujibizana na watu ukapata fununu ya tabia zake na misimamo yake. Kwa neema ya Mungu uzi huu utazaa ndoa aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Brother wala hakuna haja ya kufanya character assessment kupitia huu uzi, utawakosea warembo wa watu.
Waache wateme sumu zao wiki nzima waliteseka nyuzi zisizikuwa na mpango, fikiria mdada wa wa watu kapost picha yake mtu kaichukua kaizoom na kukandia sijui kavaa ndala na maneno mbovu mbovu kibao, lakini anasahau hao ni wadogo zetu ndo wamemaliza masomo au ndo wanaanza hustling za maisha, unaweza kumkosoa kwa kumfata pm au ukamkosoa in a good way lakini si kumbeza jukwaani kumdhihaki ili mradi tu.
Halafu kwenye haya maisha kweli unaweza kumdhihaki mtu kisa viatu sijui kiuchumi hayuko sawa, leo utamcheka kavaa ndala kesho yake unakatatika miguu kwa ajali hata hizo ndala huwezi kuvaa tena.
Haya maisha kuna watu wanajisahau sana hukatazwi kumsifia mwanamke wako offcourse ndo tunavyopendwa kusifiwa n wanaume zetu ila ukinisifia mimi siyo uwaponde wanawake wengine, thats not cool na msukuma wangu kaniambia haipo kwenye katiba ya kiumeni.
Hii ni huyo dada mnaemchambua kamakaranga (pisi ya jamaa mwenye jina gum) au ndio malaika wetu yule black beauty.Shindano Leo vipi.View attachment 1223003
HahahaMmhh sasa mbona wengine hata tukiwa hatujala ndiyo kwanza tunakuwa kama tuna mimba zilizokomaa sasa tukila ndiyo hali inazidi kuwa mbaya nipe siri ya mafanikio mdogo wangu usinifanyie hivyo jamani
Hahhha we mtu bwana sijui saa wala siku nitakayowekaUnaweka sangapi ili niwe nachungulia chungulia
Nimeijaribu Budweiser naona haina utamu kama wa heineken acha tu nibaki na heineken yangu wasaliti watarudi tu nyumbaniUmegoma kuvisliti kabisa viheinken...wasiliti wengi wameenda kwenye budwiser
Wachaaa jiraniKuwa mwembamba kiasi ufurahie mema ya nchi wewe, easy to bend, easy to carry, easy to access [emoji23]
Jirani wewe sio wa kuona unyayo tu yaan wewe tulivyo majirani ni wa kuniona kabisa ila naomba tu usinikimbie kabisa ninavyotishaJirani mi mwenyewe sijaon hata unyayo wako...kwelii??
Sijajua jamaniLeo nategemea kuona ukibonge wako. Unategemea kulewa saa ngapi ili nisicheze mbali na uzi huu wa kilozi?
Hahah alafu unakuta ulisha zamaga pm kurusha ndoano kipindi flan.Humu unaweza kukuta picha ya mkeo kabisa.
Ngoja nianze mwanzo kabisa kuperuzi kurasa hadi kurasa.
Hivi hizo zawadi mnapeana kindugu au kimafungu jamani [emoji134][emoji134] mbona mimi sipewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naongeza kidau cha zawadi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi umeishiwa picha
Kulikoniiii, tupieni hata za vikombe basi
Hahaaha lazima anisifie tuKweli hapo hata sijui na mimi nimefikiria nini!! Yaani eti nimepeleka kesi ya nyani kwa ngedere nikitegemea eti ngedere atakuwa upande wangu!!
Mashallah [emoji7][emoji7]Shindano Leo vipi.View attachment 1223003
Dah... [emoji39][emoji39][emoji39]lipoShindano Leo vipi.View attachment 1223003