Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Ndo kitu gani hicho jamani, au nifute urafikiNajua tatizo wandewa
Ndo kitu gani hicho jamani, au nifute urafikiNajua tatizo wandewa
Ulivyosema boss lady nimecheka nikakumbuka pia, kuna siku Erick kanipigia whatsapp video ananiambia tuonane basi natata nikumiliki maana nishazoea bankers, account clerks, wamiliki wa maduka ya nguo ila sijawahi kumiliki md, mkurugenzi.
InshaAllah maneno yenu yakawe heri kwangu nitakuwa bosslady na mmiliki wa kiwanda kama bakhressa.
Hiyo skunk ni kama ile kwenye weed?
Kwa siksi paki za Lizarazu we kwisha habari yako. Ikiwezekana niruhusu tu nianze kukuita shemeji kwa sababu hakuna namna. Mi na hawa ng'ombe wangu acha tupambane na hali zetu [emoji16][emoji16][emoji16]Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hukuona yeye alivyonimwagia sifa kwa kitrump chake matata kile[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] Hadi nikahisi malaika ,kumbe Ni kimbaombao tu Cha vijijini huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaona nisiwe mchoyo wa fadhila ,nikamlipa kwa kumsifia haswaa.
Lizarazu ona unataka kupoteza ng'ombe huku.
Worry out dear!
Cheers!!Cheers to that...
Kahadithi kazuri[emoji8][emoji8]Sayai katika hadithi za Kisukuma ni kale kasungura kajanja kalaghai laghai ambako mara nyingi huwadanganya wanyama wengine na hata binadamu; halafu kanaishia kuwaingiza mjini huku kenyewe kakisepa kiaina. Sina uhakika kama nawe una usayai sayai kiaina [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naongeza kidau cha zawadiWanaume wa jf wana....
Viatu vizuri
Saa nzuri
Raba kali
Shingo ndo usiseme
Magari mazuri
Wengi sana wameoa japo wamevua Pete.
Lakini mekuta kuna mmoja tulikuwa naye machakos, ila kahamia Tz sijuii!!
Hivi unadhani nazipenda Basi[emoji16]Kwa siksi paki za Lizarazu we kwisha habari yako. Ikiwezekana niruhusu tu nianze kukuita shemeji kwa sababu hakuna namna. Mi na hawa ng'ombe wangu acha tupambane na hali zetu [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanaume wa jf wana....
Viatu vizuri
Saa nzuri
Raba kali
Shingo ndo usiseme
Magari mazuri
Wengi sana wameoa japo wamevua Pete.
Lakini mekuta kuna mmoja tulikuwa naye machakos, ila kahamia Tz sijuii!!
[emoji28][emoji28][emoji28]
Umeona unavyonionea[emoji23][emoji23] ile comment yangu ilikuwa ndefu halafu ukakimbia kiaina