Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu nilijua tu chaumbea wangu uniquote uje uniulize
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani alikuchimba biti jamaniii.... mbavu zanguu mimi jamani
 
Daaa kuoa mwanafunzi aliemaliza chuo halafu anaviwango vya tbs yataka moyo sana...yani wametumika balaa,mume unaweza kua mtu wa 200 kwenye mwili wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha...nigga this's joke is on you!!
 
Hahahaa. Nitafutieni tu mume. Bata zangu mie sio za gharama maana nalipiwa kila kitu hata msione wivu sio hela yangu ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unene unapungua mwaya. Nakimbia nipungue kidogo. Sema sipendi wembamba pia

Kuwa mwembamba kiasi ufurahie mema ya nchi wewe, easy to bend, easy to carry, easy to access [emoji23]
 
Hapa ujue nakulia timing wewe, nishapitwa mara zote huko nyuma...remember??? Hahahah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu8 bana kumbe unasoma kimya kimya tuu akii
 
Back
Top Bottom