Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Sayai katika hadithi za Kisukuma ni kale kasungura kajanja kalaghai laghai ambako mara nyingi huwadanganya wanyama wengine na hata binadamu; halafu kanaishia kuwaingiza mjini huku kenyewe kakisepa kiaina. Sina uhakika kama nawe una usayai sayai kiaina [emoji16][emoji16][emoji16]MUNGU wangu[emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Umeona uniuze kabisa.
Lizarazu, SHIMBA YA BUYENZE naombeni tafsiri hapa tafadhali.