Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_9856.JPG
IMG_9855.JPG


Mkuu Cardiovascular karibu hapo heinken jioni hii
 
Ulivyosema boss lady nimecheka nikakumbuka pia, kuna siku Erick kanipigia whatsapp video ananiambia tuonane basi natata nikumiliki maana nishazoea bankers, account clerks, wamiliki wa maduka ya nguo ila sijawahi kumiliki md, mkurugenzi.
InshaAllah maneno yenu yakawe heri kwangu nitakuwa bosslady na mmiliki wa kiwanda kama bakhressa.
Sidanganyiki dada angu boss lady
 
Daaa kuoa mwanafunzi aliemaliza chuo halafu anaviwango vya tbs yataka moyo sana...yani wametumika balaa,mume unaweza kua mtu wa 200 kwenye mwili wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hapana mkuu nakupinga ukianza kuconfese wewe mme wa 200 yaliyo nyuma ya pazia wewe utachomwa moto alafu yeye atabaki nakuapia
 
Back
Top Bottom