Wee mwenyewe uko buzzy babuuhHukuaga!
Watu wa aina hii, sifa yao noi kuwa na [emoji3097] wa mtoto, [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uwe unakuja nikusimulie Vita vya Maji Maji, nakwambia tuliwapiga wajerumani mpaka wakakimbia [emoji12][emoji12][emoji87][emoji1322]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vile Karma anasubiria dada yake Heaven Sent aposti picha yake hapa![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1771437
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbona ashaiona jamani
Hahaha...siyo wote wenye sifa hiyo mkuu.Watu wa aina hii, sifa yao noi kuwa na [emoji3097] wa mtoto, [emoji23][emoji23][emoji23]
AmenANZA YOTE NA BWANA
Asante baba Mungu kwa siku mpya hii ya leo na s asante kwa ulinzi usiku huu.
Tunaomba tuianze na kuimaliza siku hii katika jina lako na mipango na shughuli zetu zikapate kibali na baraka zako.
Tusamehe dhambi zetu zote, tunaomba, kwani kama sio kwa neema yako tunastahili hukumu, ila wewe ni Mungu wa upendo hata ukamleta mwanao mpendwa Yesu Kristo kwa ajili ya ondoleo la dhambi zetu. Tunaitegemea neema hiyo kuokolewa.
Shusha Roho wako Mtakatifu tunaomba, ili atujaze mioyo yetu, maana yeye ni mwalimu, kiongozi na mfariji.
Ni katika UTATU wako Mtakatifu tunaomba, amini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa akiwa hivo na hana kitu cha namna hiyo si afe tyuuh.Hahaha...siyo wote wenye sifa hiyo mkuu.
Vipi kwema lakini
Kumbe umesoma Sangu? Kuna mtoto wa mam mdogo nae alipita hapo, bas akisimulia visanga vya hapo mie hoi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]billdrago unakumbuka nini ukiona hapa?
Malegendary ilikuwa tunapita bila wasiwasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1773092View attachment 1773093View attachment 1773094
Ulivo buzzy hivyo, huo muda unapata wapi?Msg nasomaga lakini[emoji3]
Nimesoma Olevel miaka hiyoo.Kumbe umesoma Sangu? Kuna mtoto wa mam mdogo nae alipita hapo, bas akisimulia visanga vya hapo mie hoi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwalim m1 wa kike jina nimesahau kidogo, huyo anasema hatamsahau had kufa kwake, anasema ni hatarii zaidi ya fire.
Sasa akiwa anasimulia mie mbavu zinaishiwa nguvu kabisaa, napatwa na hofu hadi na mie msikilizaji. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fimbo za kuchelewa au.Nimesoma Olevel miaka hiyoo.
Hilo geti tulikuwa tunapita kwa uzoefu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]getini pana fimbo asbh acha kabisa.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ndiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fimbo za kuchelewa au.