Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimewamiss wana selfka.
20210504_224652.jpg
 
Macho yanasadifu yaliyomo? Yaan moyo wangu unanambia mwenye picha hii ana kitu fulan hivii kabarikiwa cha haja kwa ukubwa wake, hebu weka na pua nimalizie utafitu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣haupo salama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eboooooh
 
Nisipende kitu kinachonifanya ninene kwa lugha zote 20, ambazo napaswa kunena wakati wa gwaride murua na la kukata na shoka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha hizo wee, ooooh
🤣🤣🤣🤣naomba siku moja unpatie nafasi ya kukuongoza katka gwaride, mimi n askari odari💪💪💪
 
Back
Top Bottom