Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20210503_132306.jpg
 
Jamani Saint Anne nimekwambia nina uoni hafifu, kwani huwezi kusoma kwa niaba ya Mimi Babu yako? [emoji12][emoji12][emoji12]

Utafanya nikulipie Ada urudi tena Dodoma ukaendelee kubukua [emoji23][emoji87][emoji1322]
Mwee babu nimesema miwani imepasuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Si unaona picha ya juu pale nipo clinic napima tena macho.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom