Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,584
Duuuh. Hivi donlucchese Mshana Jr Tanzania Kuna nyumba za kwenda kushoot Kama shabaha?[emoji2][emoji2]View attachment 1759504
Huwa naziona kwenye movie za marekani, watu wanaenda kulenga shabaha na kutoa stress