Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,321
Usidanganyike Rafiki...Makiseo nakukisia kuwa chura ipo japo nimesikia uliloongea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usidanganyike Rafiki...Makiseo nakukisia kuwa chura ipo japo nimesikia uliloongea.
Wewe wamekusingizia asubuhi kweupeYaani huyo kazidi aisee! Mimi kupiga kelele kote huku naambiwa napita kama robot mwee nasingiziwa mimi!
Mpenzi anakwama wapi sasa Karma? Au mkwamo upi tunaozungumzia...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo mie nimeona acha nifanye maisha yangu sitaki kuja kumtesa mtoto wa mtu
Sasa tuassume tayari una mpenzi lakini pia una marafiki wengine ambao unaweza ukawahitaji pale ambapo mpenzi wako atakuwa amekwama mahali! Wote hao utawapa?
Vile nakuona moyoni unasema Makiseo usidanganyike na mzee wa chura!😄😄😄
Hii picha huwa inanichekesha😀Vile Makiseo amebreak my heart![emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1759138
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1759234
Leo naona mkono umefungua lock ya ku type, comment zako nadra sana tunazitafuta kwa [emoji363][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkwepu ametukabidhi majukumu. Mimi na Karma
Matukio..!? Sole matoleo..Aaah i mean matokeo[emoji24]KGR vs SSCView attachment 1759419
Mikwamo ya aina nyingi tuMpenzi anakwama wapi sasa Karma? Au mkwamo upi tunaozungumzia...
Najiuliza tu, hivi unawezaje bila mupenzi...
Huyu mbona kama anafanana na SupikaVile Makiseo amebreak my heart![emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1759138
Uwiii[emoji134][emoji2][emoji2]View attachment 1759504