Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Bhana hii style inanivurugaga mno aiseh..mtu Akivaa sichoki kumtazama(ila afunge kifungo mpka juu kidogo sio kama hivyo).
X kiburudisho wangu nilikuwa namchagulia hivi kila ikifika ijumaa mwishoe akazoea..loh







