Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Chai hadi usiku[emoji1787]Mimi ni mpenzi wa chai![emoji854][emoji854][emoji854]
Chai hadi usiku[emoji1787]Mimi ni mpenzi wa chai![emoji854][emoji854][emoji854]
[emoji134]Mkuu hizi dini mm zilikitoka muda mrefu sana...now am non believer[emoji846]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Inaelekea ulipendeza..jeans yako ni nzuri.hapo ukute ulipiga na shirt yenye rangi nzuri ukachomekea ohoooo Jizazi 🧚♀️🧚♀️
[emoji23][emoji23][emoji23] nika what?Inaelekea ulipendeza..jeans yako ni nzuri.hapo ukute ulipiga na shirt yenye rangi nzuri ukachomekea ohoooo Jizazi [emoji3344][emoji3344]
Sorry mchumba mm ni non believer[emoji2357][emoji134]
Mke mwema[emoji3059]Vile tunaburudisha mdomo wakati tunasubiri usiku ufike tupike.
Wapenzi wa maparachichi karibuni tutafune.
View attachment 1761635
Uka hivi👇Ikiwa ni siku ya ijumaa inaenda kwa ofisi.ufunge kifungo mpka cha pili kutoka mwisho kwenye shingo
salaam zikufikie popote ulipo je wewe ni mzima wa afya ?Uka hivi👇Ikiwa ni siku ya ijumaa inaenda kwa ofisi.ufunge kifungo mpka cha pili kutoka mwisho kwenye shingoView attachment 1761679
Shem wa kienyejiKaribu juisi ya kienyejiView attachment 1761680
Mimi ni mzima sana sijui wewe uliyembali na upeo wa macho ya JFsalaam zikufikie popote ulipo je wewe ni mzima wa afya ?
Nambie mkuu wa kienyejiShem wa kienyeji
Ni poa kabisa wakienyeji.Nambie mkuu wa kienyeji
mimi ni mzima kabisa , ningekuwa na uwezo ningelikwambia rudisha avatar ya mwanzo ili tusalimiane vizuri ,kumbe nishakusalimiaMimi ni mzima sana sijui wewe uliyembali na upeo wa macho ya JF
Mkuu utaleta nyukiKaribu juisi ya kienyejiView attachment 1761680
American style, one of my fav[emoji3059]Uka hivi[emoji116]Ikiwa ni siku ya ijumaa inaenda kwa ofisi.ufunge kifungo mpka cha pili kutoka mwisho kwenye shingoView attachment 1761679
Gahawa ama la maziwa?Mimi ni mpenzi wa chai!🙃🙃🙃
[emoji8]
Yesu wangu[emoji134][emoji134]
Nitairudisha baadae kidogo lee Changu.mimi ni mzima kabisa , ningekuwa na uwezo ningelikwambia rudisha avatar ya mwanzo ili tusalimiane vizuri ,kumbe nishakusalimia