Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Night Mode.

Buenas noches amigos.
IMG_20191003_215012.jpeg
 
Nashangaa ng'ombe 70 wanayeyuka juu juu.huku nilishaanza kujifunza kisukuma[emoji1751]
Hawawezi kuyeyuka hivi hivi tu.

Cha kufanya fanya kumwambia mzee wako andae zizi la kuwahifadhia hao ng'ombe kama huko kwenu hamna malisho basi tutampa eneo huku kwa muda[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kweli mchawi siyo lazima apae na ungo usiku!!

Yaani hata wewe ni wa kuniombea mimi nisiache utoto kweli??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nitarudi nyumbani[emoji1241] kwa baba na mama nimechoka kutazama flat screen.
Hahahahha.... Halafu huko ulipo hata ukikutana na mwenye nyama zake basi ujue ni silicon zimehusika.

Hakika urudi tu nyumbani kuna vitu kibao tena nachuroo.
 
Back
Top Bottom