Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siyo mimi wala wewe tu! Wengi wanamkubali kwa sababu wanadhani yuko hivo kumbe mweee fikajapo na fimo!

Si unajua wanawake wengi JF wanapenda wale wanaume ambao wanaonekana wako very decent kwa sababu kwenye dunia ya sasa wamebaki wachache na wanahesabika! Binafsi nilishaanza hadi kumpongeza aliyenaye kuwa ana bahati!
Mbona mimi nipo decent ila huko piemu kuna vumbii balaaa...hata njia ya kwenda huko nishasahau
 
Morogoro ni mpana umbali kutoka centre kwenda huko mahenge huko si mchezo, ukizingatia barabara halina lami ni tabu tupu..
Ila kuivuka moro kutokea pwani kwenda dom ni dk 0 tu.
huko mahenge ndo baraha sasa, yaan barabara kutoka ifakara hadi mahenge ni shida tupu, mlima ndororo ule ni noumaaah mweeeh, tena isingekua lami sijui inakuaje lol.
 
IMG-20210415-WA0161.jpg
 
Siyo mimi wala wewe tu! Wengi wanamkubali kwa sababu wanadhani yuko hivo kumbe mweee fikajapo na fimo!

Si unajua wanawake wengi JF wanapenda wale wanaume ambao wanaonekana wako very decent kwa sababu kwenye dunia ya sasa wamebaki wachache na wanahesabika! Binafsi nilishaanza hadi kumpongeza aliyenaye kuwa ana bahati!
Yaani mimi nilikuwa nataka niseme ila nikawa nakosa pa kuanzia
Bora umesema.

Aiseee
 
Ely hivi na wewe ni type ya kina naniliu? Maana kuna comments zako kuhusiana na hayo mambo zinaonesha na weye ni wale wale au nimekosea?

Kuna muda unaonekanaga muaminifu saaanaaa tena saaanaaa yaani haunaga hayo mambo ila kumbe mmhh! Na wewe unaonekana si haba aiseee!
Mazingira yanawabadilisha watu, situations zinawabadilisha pia. Kuna mambo mengi yanatubadilisha, ndio maana unaweza kusoma comments za mtu miaka mitano iliyopita, ukilinganisha na mwaka huu ukajiuliza imekuwaje tena mbona huyu hivi..
 
Back
Top Bottom