Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Dada kwa visingizioNilitaka nikusupport na heel, sasa kila nikicrop kapicha najikuta mlonjo ndiyo unajaa kwenye screen mweeeh![]()




Yesu atazitangulia hizo picha wallahi




Dada kwa visingizioNilitaka nikusupport na heel, sasa kila nikicrop kapicha najikuta mlonjo ndiyo unajaa kwenye screen mweeeh![]()








Pambana nakusuria hapa HS.Mimi nimechanganya makabila, afu bi mkubwa ana mguu wa bia; sielewi ilikuwaje nikarithi huu mlonjo wa baba khaaa. Yaani kamlonjo kalivyo karefu, kila nikijipinda kukacrop sijui kuzoom out ndiyo kanaishia kujaa kwa screen, kiatu hakionekani. Ngoja niendelee kupambana
Pumbavu wajinga sana wale😁😁Ah hao mie sijawahi kuwaamini kwa kweli yaani watengeneze miguu ya bia wakati wengi wao wanatembelea miwa ya nyongeza? Kwamba wao hiyo miguu ya bia hawaitaki?
Nimekuelewa mamilo ukiachana na hili nimekumisiiiiMwaya huyo mwenzio hayuko serious anakuzingua tu anapenda matani. Mzoee usimchukulie serious.
Ni mwanaume ila hajaoa kazi kutusumbua tu mama zake humu JF tunaoweza kumzaa huku tunavuta sigara![]()
![]()
Visingizio vinajaa Tren la mlimba😆😆😆😆😆.Dada kwa visingizio
Yesu atazitangulia hizo picha wallahi![]()
Nisalimie tayariTeheteheteheteheeee....
Dada kwa visingizio
Yesu atazitangulia hizo picha wallahi![]()
Visingizio vinajaa Tren la mlimba.
Naendelea kumsubiri










Pambana nakusuria hapa HS.
Shida si heel ionekane...zoom kidogo tu.
Hebu niletee huo mguu wa bia wa mama.ukiweka niite
Visingizio vinajaa Tren la mlimba.
Naendelea kumsubiri
Nimekumiss pia rafiki! Hebu tubarikimo na kamoja basi maana tangu ile ya mwaka juzi ndiyo holaaa hadi waleo!Nimekuelewa mamilo ukiachana na hili nimekumisiiii
Mmh dada tusije tukaanza kupata matumaini Kumbe hiyo picha inayoongelewa hapa haiko kwa gallery wala haijawahi hata kupigwaHii kweli ningeweka, na kamlonjo kangeonekana kidogo sana. Picha kama hii haina tatizo
Ewaaaaa...hapa safiNisalimie tayari
Weee usiniambie![]()
Yaani bora tumsubiri Yesu kwanza halafu ndiyo tusubiri picha za HS! Hizo picha kweli ni Heaven Sent yaani siku atayoshuka Yesu toka mbinguni ndiyo picha za HS zitafuatia nyuma yake!
Nasikia siku Bwana Yesu akisema anakuja na picha zako zitamfuata nyuma😄😄
Siamini kama ndiyo siaminiki hivi
Haki ya Nani vileWeee usiniambie
Sema hakyamama...Haki ya Nani vile
Morogoro ni mpana umbali kutoka centre kwenda huko mahenge huko si mchezo, ukizingatia barabara halina lami ni tabu tupu..Haki Morogoro ni kubwa kuliko Tanzania.jamani nilikaa kwenye gari kutoka dar to moro Town..moro Town mpka ifakara,ifakara tu mlimba.mlimba tu ndani ndani huko..jamani jamani waaaahiii uvumilivu ukanishinda ikabidi nimuulize jirani yangu “samahani dada eti tunaenda mbinguni”kha!!
Morogoro ndani ndani huko kama barabara ni mbovu aise ni bora kusubiri jua liwake barabara ichangamke kwanza maana...
Sasa ngoja nikuchekeshesiku hiyo akati narudi mvua ilikuwa inanyesha niko kwenye boda natoka kijijini huko kwenda mlimba stand nikastuka boda anapunguza mwendo nikamuuliza Chief Vipi mbona umepunguza mwendo?akasema dada kuna mteremko na utelezi mkali hatua chache ..hapo mvua imekata kama dk 10 kumbuka
hata kabla sijamaliza kutafakari itakuwaje...nikajikuta niko chini na udongo ulivyo wa mfinyanzi...loh hapo Naendelea kuserereka tu usisahau niko juu ya kilima...napiga jicho kushoto na kulia simuon boda wala boda yenyewe
Ikabidi sasa nitumie mbinu za kivita na za kimkakati kuzuia kuserereka,kibegi kipo juu juu kama antena(jamani...)
Nikanasa,niko katikati ya giza totoro kumi na moja kasoro hiyo katikati ya mlima ikabidi nimuombe boda nae atumie mbinu za kivita ili asiendelee kuserereka akaniacha mwenyewe kilimani
wooooiii namkuta chini kule amekula tope matata sana hakuna wa kumpa mwenzie lawama.ilibidi kubadilisha nguo nilipofika stand
na huo ndo ulikuwa utalii wangu wa ndani..khooooo
Tuondelee kuomba uzima na afya tutakuja kuonana nao tu.
Huwa sifurahishwi na watu kugombana gombana aise..kama mmeelewana ni vyema kabisa binafsi ninalifurahia hilo..ona jinsi ilivyovyema na kupendeza...ndugu wakae pamoja kwa umoja.![]()
Sasa hilo si ni suala la kuongea mkiwa faragha jamani mwanangu? Lizzy ya kweli haya mkwe?