Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu waongelee hivyo nyoka wengine ila siyo kifutu! Kifutu unaambiwa hasubiri eti umchokoze atakugonga hata kama huna muda naye na ukikimbia unajisumbua maana ana mbio kuliko binadamu yeyote yule!

Zamani tulidanganywa sana kuhusu vifutu kuwa eti hadi ukiwachokoza ndiyo wanakugonga! Lakini huyo ukikutana naye ni uchichimame uchikae, uchikimbie uchitembee, uchiiname uchichuchumae!
Labda kama nmechanganya, coz ilikuwa n mwaka jana mwezi wa 2 tukiwa tunavuna mahindi tulikuta na nyoka flan hv n wanene afu wafupi, pamoja na kupanda mgongini lakin hakuleta shida yoyote mpaka tunakuja kushtuka kuwa n nyoka tukawapiga na kuwaua wanaowajua vzur ndio wakaniambia hvyo "hao nyoka hawanaga shida". hv hao kifutu ndo wale wanatanuaga vchwa or...?
 
Ilikuwa na pepsi, now na chai
2740747_ice_2021-04-13-22-15-09-839.jpg
 
Back
Top Bottom