Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Ahaaa kumbeee 🤛🤛Mguu
Ahaaa kumbeee 🤛🤛Mguu
Ngoja nami leo nitupie sura yangu huenda hata Karma akabadilisha msimamo wake wa kunikataa.View attachment 1752598





Ngoja nami leo nitupie sura yangu huenda hata Karma akabadilisha msimamo wake wa kunikataa.View attachment 1752598




🏃🏃🏃Wewe ni mbea wa kimataifa walahi!😁😁😁
Usinikimbie mimi sijawahi kuwa adui wa binadamu.
Nafikiri hii username itabidi niibadilishe nikupotee tena nitatumia jina refu ili hata ukinijua uwe unaona uvivu kunitag
Ely hivi na wewe ni type ya kina naniliu? Maana kuna comments zako kuhusiana na hayo mambo zinaonesha na weye ni wale wale au nimekosea?Namba yake nilichukua na tayari nilishaga mwandikisha na yeye kwenye idadi ya walio wahi kupiga kura kwenye daftari la kudumu
Nilimuacha/tuliachana tu pindi/siku tuliyopiga kura ila ni mpigaji kura mzuri kweli kweli maana hakutaka rushwa ili aibe kura
Naam! Nambie mdogo wangu!
Mwaya huyo mwenzio hayuko serious anakuzingua tu anapenda matani. Mzoee usimchukulie serious.Yaishe mpendwa sorry



Hivi bado wachina hawajaanza kutengeneza miguu ya bia😁😁
Jamani tupunguzianage miguu basi mweee


Karibu sana sisy...
Niachieni anko frog wetu 😃😃😃Mwaya huyo mwenzio hayuko serious anakuzingua tu anapenda matani. Mzoee usimchukulie serious.
Ni mwanaume ila hajaoa kazi kutusumbua tu mama zake humu JF tunaoweza kumzaa huku tunavuta sigara![]()
![]()
Usinidanganye basi...watu wa huko mnamiguu sana hata wakati mwingine ninafananishwa na watu mbeya na sio Kilimanjaro loh.Nilitaka nikusupport na heel, sasa kila nikicrop kapicha najikuta mlonjo ndiyo unajaa kwenye screen mweeeh![]()
Hapana mimi binafsi sijafurahishwa kabisa! Kaka wa watu katoa mahari kafuata taratibu zote kakuoa pilau tukala na kwaito tukacheza halafu leo hii unamkana mumeo unasema haujaolewa kweli?Wewe ni mbea wa kimataifa walahi!
![]()
Jehovah 🤣🤣🤣
Tatizo mme wangu Lizzy hanifikishi kileleni.Hapana mimi binafsi sijafurahishwa kabisa! Kaka wa watu katoa mahari kafuata taratibu zote kakuoa pilau tukala na kwaito tukacheza halafu leo hii unamkana mumeo unasema haujaolewa kweli?
Hivi unataka tuliokuozesha tuweke wapi sura zetu lakini? Imeniuma sana kwa kweli!
Mimi nimechanganya makabila, afu bi mkubwa ana mguu wa bia; sielewi ilikuwaje nikarithi huu mlonjo wa baba khaaa. Yaani kamlonjo kalivyo karefu, kila nikijipinda kukacrop sijui kuzoom out ndiyo kanaishia kujaa kwa screen, kiatu hakionekani. Ngoja niendelee kupambanaUsinidanganye basi...watu wa huko mnamiguu sana hata wakati mwingine ninafananishwa na watu mbeya na sio Kilimanjaro loh.
Sissy fanya namna unisapoti bhana.
I zoom out,I screenshot ndipo uicrop
Ah hao mie sijawahi kuwaamini kwa kweli yaani watengeneze miguu ya bia wakati wengi wao wanatembelea miwa ya nyongeza? Kwamba wao hiyo miguu ya bia hawaitaki?Hivi bado wachina hawajaanza kutengeneza miguu ya bia![]()