Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Mpendwa siku zote najua wewe ni me kumbe ni mke.Ngoja nami leo nitupie sura yangu huenda hata Karma akabadilisha msimamo wake wa kunikataa.View attachment 1752598
Mpendwa siku zote najua wewe ni me kumbe ni mke.Ngoja nami leo nitupie sura yangu huenda hata Karma akabadilisha msimamo wake wa kunikataa.View attachment 1752598
Mke kwani nimeolewa?Mpendwa siku zote najua wewe ni me kumbe ni mke.
Hahahaha...umeona nini kwake mpaka ukajiaminisha kuwa ni mke mkuu Nuzulati ?Mpendwa siku zote najua wewe ni me kumbe ni mke.
Namba yake nilichukua na tayari nilishaga mwandikisha na yeye kwenye idadi ya walio wahi kupiga kura kwenye daftari la kudumuKwani yule wa kienyeji mliokuwa nae kwenye kuandikisha kura namba yake hukuchukua !
punguza Nyasi shemuwakienyeji
![]()
Unatarajia kuolewaMke kwani nimeolewa?
Nimekuuliza kwa nini umeniita mke?Mke si mwanamke alieolewa tayari?Sasa kwa nini mimi uniite mke?Unatarajia kuolewa
Hahahaha....Eti Eeeeeh!!Macho na nywele kwenye picha
Una matatizo we ngoshaNamba yake nilichukua na tayari nilishaga mwandikisha na yeye kwenye idadi ya walio wahi kupiga kura kwenye daftari la kudumu
Nilimuacha/tuliachana tu pindi/siku tuliyopiga kura ila ni mpigaji kura mzuri kweli kweli maana hakutaka rushwa ili aibe kura
Kwema mkuu
Habari za siku wewe na dada yangu?
Tunatofautiana sana mdogo wangu, ndio binadamu tulivyo...Looh!wanaume hatujawahi waelewa kaahh!kweli kila mtu na choice yake daah!
Yaishe mpendwa sorryNimekuuliza kwa nini umeniita mke?Mke si mwanamke alieolewa tayari?Sasa kwa nini mimi uniite mke?
Kwema mkuuHahahaha....Eti Eeeeeh!!
Vipi kwema lakini mkuu
Ndo nini sasa hiyo mle mle.Mle mle
Karibu sana sisy...Nakujaaaaaaaaaa
MguuNdo nini sasa hiyo mle mle.