Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Haya sasa tuanze kulima
Mchicha au
Haya sasa tuanze kulima
Matembele auMchicha au
🤣🤣🤣🙌utaweza Kulima
Ngoma imepata mchezaji!😄😄😄
Ila haikuwafikia wale kuku wako ambao hawana baba aiseh ..wangepatikana wale wako hiyo ngoma ningeicheza ile style ya makirikiriNgoma imepata mchezaji!😄😄😄
🤣🤣🤣Ila haikuwafikia wale kuku wako ambao hawana baba aiseh ..wangepatikana wale wako hiyo ngoma ningeicheza ile style ya makirikiri
Hapana...pombe ikipendwa na wanawake huwa siigusi,ndio maana hata serengeti lite sigusi kabisa bora ninywe majiDuuh spirit na maziwa! Pampula umeshindikana!
Au labda kwa vile mi sipendi maziwa fresh? Umewahi kunywa zanzi?
are you simba fan??
Daah yaani hata nguvu za kuamka sina




Tukijaaliwa uzima na afya mama ...na mimi niyapate mawaidha yako mubashara
Yani basi purukushani tu nilikuwa hukoo wanapaita mlimba sijui![]()
Haki Morogoro ni kubwa kuliko Tanzania.jamani nilikaa kwenye gari kutoka dar to moro Town..moro Town mpka ifakara,ifakara tu mlimba.mlimba tu ndani ndani huko..jamani jamani waaaahiii uvumilivu ukanishinda ikabidi nimuulize jirani yangu “samahani dada eti tunaenda mbinguni”kha!!
Morogoro ndani ndani huko kama barabara ni mbovu aise ni bora kusubiri jua liwake barabara ichangamke kwanza maana...
Sasa ngoja nikuchekeshesiku hiyo akati narudi mvua ilikuwa inanyesha niko kwenye boda natoka kijijini huko kwenda mlimba stand nikastuka boda anapunguza mwendo nikamuuliza Chief Vipi mbona umepunguza mwendo?akasema dada kuna mteremko na utelezi mkali hatua chache ..hapo mvua imekata kama dk 10 kumbuka
hata kabla sijamaliza kutafakari itakuwaje...nikajikuta niko chini na udongo ulivyo wa mfinyanzi...loh hapo Naendelea kuserereka tu usisahau niko juu ya kilima...napiga jicho kushoto na kulia simuon boda wala boda yenyewe
Ikabidi sasa nitumie mbinu za kivita na za kimkakati kuzuia kuserereka,kibegi kipo juu juu kama antena(jamani...)
Nikanasa,niko katikati ya giza totoro kumi na moja kasoro hiyo katikati ya mlima ikabidi nimuombe boda nae atumie mbinu za kivita ili asiendelee kuserereka akaniacha mwenyewe kilimani
wooooiii namkuta chini kule amekula tope matata sana hakuna wa kumpa mwenzie lawama.ilibidi kubadilisha nguo nilipofika stand
na huo ndo ulikuwa utalii wangu wa ndani..khooooo
Tuondelee kuomba uzima na afya tutakuja kuonana nao tu.
Huwa sifurahishwi na watu kugombana gombana aise..kama mmeelewana ni vyema kabisa binafsi ninalifurahia hilo..ona jinsi ilivyovyema na kupendeza...ndugu wakae pamoja kwa umoja.![]()









Dada sisi siyo mafeminist ila ni vile tu wanaume wa jf wakiishiwa hoja ndiyo wanatumia hilo neno kama defensive mechanism
Nakukubali sana dada yangu mzuri mzuri nkamu gwangu nawe ubarikiwe mpaka ushangae. Daah siku nikikuona sijui nitafurahije aise ila ndiyo najua siyo leo wala kesho wala mwaka huu.
Nilimaanisha hadi ufahamiane na mtu basi ni umempenda sanaaa au umemuamini sanaaa. Ndiyo maana mimi nikawa nawaza sijui nakuanzaje.
Au niendelee kumtazamia Bwana![]()
Ni nani?mwanaJf nimekutana nae leo.
what a dayView attachment 1749381
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mwambie huyo Kalumbu






Eti kuku ambao hawana babaIla haikuwafikia wale kuku wako ambao hawana baba aiseh ..wangepatikana wale wako hiyo ngoma ningeicheza ile style ya makirikiri






Hongera bossView attachment 1749331
Nipo katika harakati za kuwa baba mwenye nyumba niamze Kukusanya Kodi
View attachment 1749334
Macho yamegonga kwenye Nembo ya Man U
Mpendwa sijawahi bahatika kuona picha yako humuChat na picha