Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Yaani Kalumbu unanidanganya jioni kweupe kabisa namna hii








Mno yaani
mmmh mmmh mmmmhhhhYaani Kalumbu unanidanganya jioni kweupe kabisa namna hii
Angekuwa Billy mbona hilo swali nisingeuliza![]()






mwenyewe bana
ii kalumbu
Hapo umenipiga kamba aisee






Aisee, mixer ile view ya safu ya milima ya Livingstone acha kabisa.Kupo vyema yan usipime, mwanzo mwisho unaenjoy safari
Acha tuAisee, mixer ile view ya safu ya milima ya Livingstone acha kabisa.
Karma Moro ni kubwa mnooo aise...ni kama imekaa namba 8 hivii kho!!!!
kwahiyo mwandiko umekuchekesha hahahaha ulikuwa umemiss kucheka
Yap usafiri w moja kwa moja ni mzuri sana sio ule wa kwenda kuchimba mizizi huko na kununua fudi khoooo...
Ohooo ingekuwa Town ningeshakuwa star sasa hivi maan ningetapakaa dunia nzima kwa kipindi kifupi mno..kila mtu mwandishi wa habari aiseh...nikilikumbuka lile tukio aisehna nikijiangalia...basi utukufu namkabidhi Bwana
Ohooo nilijua ni yule aliyesambaza ndo mmeyamaliza...ila sio mbaya sana cha muhimu ni Amani tu.mAmbo mengine yanatokea maishani kwa ajili ya kitupa fundisho






Kuna watu kadhaa walishaniambia pia ila siku tulia maanani saaana.
![]()




Aisee wapi Hii dada
Thanks madam🙏🙏
Hahaha basi tunafanana! Mimi pombe hizi wanazosema ni nyepesi hazina tofauti na juisi eti kisa hazina hangover basi eti mimi ndiyo naziona chungu na huwa nazinywa basi tu!Hapana...pombe ikipendwa na wanawake huwa siigusi,ndio maana hata serengeti lite sigusi kabisa bora ninywe maji
Mmhh eti dada Heaven Sent na wewe Yanga