Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it



Yaani hata Khantwe naye anasemaga hivyo hivyo kuwa anashangaa kwanini watu wanacheka anayoyaandika wakati yeye anayaonaga ya kawaida. Ukiona watu wengi wanasema hivyo basi ujue kweli vinachekesha ila tu wewe mwenyewe unakuwa haunotice hicho kitu.
Kuna watu kadhaa walishaniambia pia ila siku tulia maanani saaana.

😁😁😁😁😁
 
20210411_165833.jpg
 
Duuh saa sita unusu usiku? Wakati hapo Dar-Mbeya ushafika ushalala na uchovu wa safari ushapoa!
Hata hivyo hiyo Ilonga ni ndani ya Selous game Reserve.
Kijiji cha mwisho Iputi-Mbuga ambapo tuliingia saa 5 usiku.
Tulipumzika Ifakara nusu saa kwa chakula cha mchana na Mahenge napo nusu saa kwa chakula cha usiku.
 
Back
Top Bottom