qeen jojo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,246
- 3,739
[emoji23][emoji1] Mapenzi ni mazuri ila ukikosea kuchagua ndo utayaona mabayaMapenzi Mapenzi mapenzi
[emoji23][emoji1] Mapenzi ni mazuri ila ukikosea kuchagua ndo utayaona mabayaMapenzi Mapenzi mapenzi
Ukijua sababu ya kunitenganisha na baby wangu mkwepu utashangaa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona tu kwa mkwepu yaani hata mwezi haujaisha ushaachana naye.
Wengine tuna roho nyepesi hatuwezi kujikaza namna hiyo aisee.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hiyo ya sauti mimi tu siwezi,mkwepu ataweza?[emoji23]Alisha sema hapndi kuchat sio mpenzi wa kuchat
Inabdi jf waweke jf voice awe anachat kwa saut [emoji23]
Dah wewe siyo mvumilivu aiser.Ukijua sababu ya kunitenganisha na baby wangu mkwepu utashangaa sana
Haman kaka ako mkwepu nampenda mpk kesho nampenda....Dah wewe siyo mvumilivu aiser.
Haitakiwi uachane na mtu kizembe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Dah[emoji174]Haman kaka ako mkwepu nampenda mpk kesho nampenda....
Na nilicho kiamua kwake ni kwasababu sikutka aje awe kama hyo jamaa....nimuumize alafu baadae anilaumu sikutaka ilo limtokee
Leo langu alikuwa kuachna nae ila kuwa karibu na mimi kama marafiki walio na future baadae lakn akuniamini [emoji17][emoji17][emoji17]
Ndo hvo maa
Usiku mwemah usisahau kuweka simu kwenye charger.Usiku mwema selfika na snap chat...mungu awalinde muwe na usiku tulivu...
Nawapenda[emoji175]View attachment 1748827
Heshima kwako pia boss wangu.Kichwa kichafu
a.k.a kiki
Heshima yako
[emoji276][emoji6]Selfika basi
Naomba leo uweke[emoji276][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise Poleni..nitajaribu siku nyingine nikipata safari ya huko.ingawa nilifurahi sana kuona maji yakiporomoka kutoka milimani.mbele ya chita ukivuka sijui jeshin Mungu babaaa sina kumbukumbu vizuri.
Taratibu utazoeana nae haikuwa kazi ya siku moja kumwambia jinsi ninavyomkubali kwahiyo taratibu taratibu naimani kama unamkubali basi ipo siku.
Unajua pia si kazi rahisi sana kuruhusu watu mliokutana mitandaoni wakujue nje ya mitandao so ninaelewa mtu akiwa mgumu kukutana na mtu wa mitandaoni.
Hata kama ni wewe au mimi sio kazi rahisi sasa aise..hayakawii kutokea yale kuanza kurushiana picha watu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseh kumbe na mimi ni mjeur kama huyo ee[emoji16][emoji16][emoji16]safi.
Ngoja nitaanza kumfuatilia tena kwa ukaribu nikiwa na positive mind [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]sasa Hebu jaribu ku imagine ndo babe wako halafu anakuja umkiss..chaaa naweza tapika hadi sagamba[emoji2961]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Excuse my camera. View attachment 1748612
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nahivi mimi ni feminist mwenzio, lazima tupendane tu lol.
Hahaha kwa hiyo mdogo angu unashindwa kuelewa utanianzia wapi? Yani hadi nimecheka, umejuaje kama mimi ni mgumu kuamini watu? Tuombe uzima mdogo angu, nitafanya njia tuonane kwa kweli. Hii ni ahadi ya kweli sio kama ile yakupost picha humu[emoji23][emoji23].
But thanks for the compliment nkamu, it means a lot. Kwa kweli huwa unanibariki sana kwenye nyuzi zetu za kupambana na wale watesi wetu; nikikuona tu roho yangu kwatu. Especially kipindi kile ukiwa Marianah, yaani huwa unanikonga moyo. ukianza kubishana hadi nasema eeeh damu ya kinyaki. Ubarikiwe.
mapenzi magumu kuliko maishaMapenzi Mapenzi mapenzi