Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
mwanaJf nimekutana nae leo.
what a dayView attachment 1749381
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app




Ni nani huyo
mwanaJf nimekutana nae leo.
what a dayView attachment 1749381
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app




Hhaahahahaahaha endelea kuchochea karama yako ya uvumilivu. Umenichekesha sana hapo mwishoni.
Bana mimi huwa nikiamua kuonana na mtu, nanyoosha tu na milonjo yangu sina habari. Ni vile siku hizi nazeeka + majukumu, kuna muda nakwama. But tuombe uzima bana, tutaonana mdogo angu.




Hivi bado unanipiga kamba?mwenyewe bana
tulikua tunajadili positive impact of beers
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app

hahahahhahaha ww ni google map...kwanza hyo picha na mwana jf tumepga wapi
Ni nani huyo
Yaani humu ndani Kuna Khantwe,Jael,Chakorii,Hornet.
Basi itabidi uanze kutilia maanani sasa kuwa na wewe ni comedian
Kuna comment yako moja hivi SYB alikuwa amebadili avatar akakuquote ukamuambia airudishe ile ya siku zote. Sasa namna ulivyomuambia (nimesahau) na zile emoji ulizoweka aisee nilicheka sana siku ile nikajisemea tu haki huyu sijui anapuliza kile chenyewe cha Jamaica.





Hahaha basi tunafanana! Mimi pombe hizi wanazosema ni nyepesi hazina tofauti na juisi eti kisa hazina hangover basi eti mimi ndiyo naziona chungu na huwa nazinywa basi tu!
Mimi pombe kama Zanzi na Amarula zinanishinda sababu ya kuwepo na ile ladha ya maziwa maana mimi na maziwa fresh ni mbingu na ardhi aisee hata ile harufu yake tu huwa sipendi kuisikia! Savanna ndiyo kabisa naionaga mbaya kinome ila eti naambiwa ndiyo kipenzi cha wawanawake wengi hapa mjini!




Tulikubaliana watu wote wa Mbeya ni Yanga.Mmhh eti dada Heaven Sent na wewe Yanga
hakika hakika....@Heaven Sent ni yanga lia liaTulikubaliana watu wote wa Mbeya ni Yanga.
Kama chalamilaTulikubaliana watu wote wa Mbeya ni Yanga.
Aaah wapi, Simba damudamuMmhh eti dada Heaven Sent na wewe Yanga
Ushindweeeeee
Kijana anakupiga kamba naona umemshtukiaHivi bado unanipiga kamba?![]()
The positive impacts of alcoholmwenyewe bana
tulikua tunajadili positive impact of beers
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app



Km Mimi aseehh!kiraka yaani kila konasafi dear za wewe? yaani nipo sehemu zote
YaaniKijana anakupiga kamba naona umemshtukia

Usijli dearMpendwa sijawahi bahatika kuona picha yako humu
Huyu c ndio yule mbwa wa mdada wa bongo movie😇😇