Nimejionea aisee japo sijaona picha zote.Kuna visu huko juu.
Wengine sisi Ni wasindikizaji tu humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika watu wamebarikiwa huko .Nimejionea aisee japo sijaona picha zote.
A lot of drop-dead gorgeous figures in this thread.
Hehe watoto mna figures utafikiri mmechonga kwa fundi selemala.
Hizi figures nilizoziona hapa wale Kardashian sisters huwa wanatumia mpaka $200,000 ambayo ni sawa na Tsh.460m kuzitengeneza kwa madokta wao, lakini nyie mmepewa bureee!!
Hakika Nchi hii ina maliasili kibao. [emoji12][emoji12]
Mungu ni mwemaHata nami nimeliona hilo
Itabidi tu kwa kweli hakuna namna
JF is the only place where we can dare talk openly, besides JF there's no other place where we can confidently express our disgruntlements about this fascistic government.Ole wenu muitukane serikali
Mbona namuona Lemutuz kwa mbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu haujui tu mimi nikiolewa I will make a very good wife basi tu huwa najichetua akili ila I know someday nitaacha huwa nasema huu ujinga nisipoufanya sasa hivi nitaufanya lini tena nikiwa kwenye ndoa au??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sitaki kuruka stage mie!!Wewe dawa yako Ni Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mbona atakubangua huo mdomo hadi ukae kimya
Mmhh ila na yeye si ni mzuri lakini??
Nakujua vema Sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu haujui tu mimi nikiolewa I will make a very good wife basi tu huwa najichetua akili ila I know someday nitaacha huwa nasema huu ujinga nisipoufanya sasa hivi nitaufanya lini tena nikiwa kwenye ndoa au??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sitaki kuruka stage mie!!
Mimi penda sana weweNdiwooo
Family ruksa Zoom tu mpendwa.
Uko vizuri mwaya[emoji106]
Ooh pole maa
Wanaume wa jf wanakwama wapi lakini?mpaka unakuwa "single but not single single"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ah yule tena akianza mambo yake ya kutema ung'eng'e na kujibu aya moja baada ya nyingine mbona tutatafutana humuAtakuja hapa na kizungu chake humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chitchat itageuka mmu
Hachelewi kuanza kuweka records zake za Beijing [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena namuona anapita kwenye comments zangu
It's 30min since umesema unakujaKwanini?
Hahahahaha imo
Akiwa wa kike nataka awe kama wewe😊Mungu ni mwema
Saint anna nadhani hatudaiani tena..
View attachment 1222874
🚶🏽♂️🚶🏽♂️NakujaHahaha pm
Usijali wembamba ni bora kuliko ubwenyenye.......
Nasubiri povu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]