Kusema ukweli tunapenda nyama ya mbuzi lakini uandaaji wa namna hii haupendezi Wala havutii, na ni unyanyasaji wa viumbe tulipewa na MolaView attachment 1665005
Ndio maana mlishindwa kusherekea mwaka mpya jana. Maana Kulikuwa kumepooza. Kufika saa name tu polisi wakaanza kupita eti wanafunga bar. Ila Police wa Mbeya njaa kali
Mbona huwa naona kwenye picha wamekatakata vipande?.
Mm Bora nishinde njaa kuliko kumla mbuzi mzima hivi,yaani hata kuku nikumuona kabla hajachinjwa siwezi kumla .