Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,171
- 11,236
saiv nitakua mwepesi hata kwenye ile amri 😃😃 sema kakitambi kakufutia simu na kakukopea hamna Tena,, nimekaa karibu miez miwili , ntakuja kwenu uniombee au vp?Pole sana ila afadhali kitambi kimeisha[emoji14][emoji14]
Kwahiyo ulikaa siku ngapi huko??
Nipo mbeya ndiyo.