KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,568
- 89,200
Nawaambiaga waufunge ndo naanza kunywa lkn nikirudi natuama mlangoni pake natest Kama pamefungwa pakifunguka ndo mazima lkn Nikikuta pamefungwa Kweli naanza kulia natishia na kujiua..🤣🤣Lasivyo unaweza kujikuta kwa lager 😅😅😅
Halafu uje ukatae kibendi chako akianza kula udongo kama nyoka
Hayo ya mimba si kipaumbele changu Hayo ni mambo mbalimbali..😂