Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Haya sasa....msopenda kutoa hela ya kusuka mnajionyesha hadharani😀😀🙈Basi ninavyopenda mwanamke asie suka!!
Haya sasa....msopenda kutoa hela ya kusuka mnajionyesha hadharani😀😀🙈Basi ninavyopenda mwanamke asie suka!!
[emoji120][emoji120]Asante ustadh
Heri kwako pia
Kuna baridi hatariMbona iko vizuri hii.
Sema ulikuwa huna mpango tu[emoji4]Nisamehe
Weeee usiniponze...🥴🥴 2 yrs nilinyoa....ngoja nijitahidi miwili ya kuzifuga nione zitafikia wapi🙂Kunyoa ndio habari ya mjini[emoji4]
Oohh kumbe ulikuwa HapoHaya maeneo ndio nimepiga picha hiyo [emoji848][emoji848]
Kumbe yupo😄Hawezi kuwa mkorofi mpaka apigwe/ninpige ban la jumla jumla 🙂🙂
Asanteee!🙂
Ila nsha-save sabuni za kutosha the past 2 years jamani.🥴
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeee usiniponze...[emoji3061][emoji3061] 2 yrs nilinyoa....ngoja nijitahidi miwili ya kuzifuga nione zitafikia wapi[emoji846]
Tuombe uzima ntakutoa mapinduzi daySema ulikuwa huna mpango tu[emoji4]
Nilishakuona siku nyingi nakuzoom tu.😄😄😄Jasusi mbobevu mie
DodomaWapi hiyo
who told u😄Haya sasa....msopenda kutoa hela ya kusuka mnajionyesha hadharani😀😀🙈
Mimi huwa nina sikukuu 2 tu!Tuombe uzima ntakutoa mapinduzi day
WeeeeeHapana mkuu uwezo huo natoa wapiii
😅😅safiNimeacha Mkuu
kwa maana hio hela ya kusuka kila wkend nitakua sitoi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sasahivi nashindwa kusuka.
Nikisuka Leo,kesho kichwa chote kinawasha..siwezi hiyo kazi ya kujikuna kama mwehu.
🙄🙄🙄 Ebooh Jasusi mwenzangu sio😅Nilishakuona siku nyingi nakuzoom tu.
🥂😅😅safi
Hata kama ningekuwa simjui bado angekuwepo...out there...somewhere akipoteza poteza muda 😁😁Kumbe yupo😄
Tuendelee kusave hela tunazopata Tupate baraka kupitia page ya malisa GJ
Milele tena.Haitoshi mkuu labda Forever tena