My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,602
- 11,885
Heeee ! Panya buku ? [emoji23][emoji23]Kwa kimalkia wanaitwa guinea pig.
Ni jamii ya rodents.
Sijawah kula aisee
Hata picha wajameni [emoji39][emoji39]Tuko bize tunajipikilisha
Maana Kutualika hamjatualika