Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,268
- 95,544
We vuka utanikuta kwa dannyFasta naibuka hapo rafiki yangu kipenzi.uko kwa wapi
We vuka utanikuta kwa dannyFasta naibuka hapo rafiki yangu kipenzi.uko kwa wapi
Achana nae nisha mtoa moyoni... [emoji57][emoji57]Wonderful and all the best.. Ila akifikia kukupiga ngumi usikubali tupo ambao tuko tayari kukupiga na mabusu
We vuka utanikuta kwa danny
WasalimieNapita tu......
Anza kwanza weweChat na picha
Hata Mimi ni mnyakiSawaa Mkuu
ila chunga sana wanyaki sio watu wazuri kabisaa
Nyerere Square si ni kule mbele kabisa ukiipita roundabout inayofuata
NdiyoHiyo roundabout ya DUWASA
Zote tu ni square [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me nilisema alinambia yeye zote huziita squares nazani hata ile ya Morena pale ni Nyerere square kwake
Addiction.Yaani kwa siku nakunywa vikombe karibu sita. Siyo salama kwa afya. Na nikichelewa tu kichwa kinauma hatari.
Hivi mkuu kila siku huwa unakula Vyakula vya kununua eenh
Umewapendelea wanyaki[emoji39] anyway, rip your best friend!Rafiki yangu Mnyaki alifariki masikini. Rest in peace Magreth. I will always carry your memory na nikija kubahatika kupata mtoto wa kike nitampa jina lako. Wanyaki mna roho nzuri sana [emoji1545][emoji1545]
Hivi huyu mtu chake anavyobebishwaga hivi halafu eti bado kutwa analalamika mademu wa JF hawamkubaliHaniwezi huyo kipenzi changu..
Ohoooo yani nafeel the love..yeuyeeewww[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]nakuzawadia mabusu leo mtu chake wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dota!
Mno yaani[emoji4]Rafiki yangu Mnyaki alifariki masikini. Rest in peace Magreth. I will always carry your memory na nikija kubahatika kupata mtoto wa kike nitampa jina lako. Wanyaki mna roho nzuri sana [emoji1545][emoji1545]