Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maneno ya busara. Tuko hapa kucheka na kusocialize tu. Don't take things personal and sometimes you have to roll with the punches as if you are Floyd Mayweather japo mtu akizidi sana pia rukhsa kumsuta na kumchana. Ni lazima pia kuwa strong hasa kwa jamii yetu hii yenye dharau kwa wanawake....na kuwa careful kutozoeana na watu kupita kiasi hovyo hovyo. JF ya sasa hii imejaa boys na wengi wao hata hawajui maisha haya yakoje so kuumiza mabinti kwao kawaida tu...
Kweli kabisa...
Nilichogundua humu ndani mtu anakujaribu kukuvunjia adabu makusudi ukikaa kimya ndo basi tena.

Sikatai kutaniana kupo na tunafurahi lakini ikipitiliza 😁😁huwa nabadilika kabisaaaaa na siwezi jizuia nikikasirika

Tucheke,tufurahi,tuheshimiane maisha yapate kuendelea..🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂
 
Naona umestuka...

Vipi uliagiza nini Niongee na Goblin wakulipie...

Anyway Nakukubali Mtu wa watu my apologies for Bad language ya mchana😉
Sasa ndo nataka kulala kina shughuli nilikuwa nafanya.ninalala 2hours tukijaaliwa uzima saa kumi natakiwa kuwa nimeshaamka..

😅😅sijaagiza kwakuwa sinalala Chief.

Hey!!mwamba mbona ilishaishaga kitambo mnoo...ngoja nikwambie kuhusu mimi,,napenda kuwa na amani na kufurahi mda mwingi sana.so ukiona kitu kimekaa moyoni kwangu muda mrefu basi jua ni kikubwa..

Btw ukishaona hizi 🥂🥂 nimekugongea basi ndo ujue
3BFD63B9-70E1-49B5-A7C3-F12A82FEB305.jpeg
 
Sasa ndo nataka kulala kina shughuli nilikuwa nafanya.ninalala 2hours tukijaaliwa uzima saa kumi natakiwa kuwa nimeshaamka..

😅😅sijaagiza kwakuwa sinalala Chief.

Hey!!mwamba mbona ilishaishaga kitambo mnoo...ngoja nikwambie kuhusu mimi,,napenda kuwa na amani na kufurahi mda mwingi sana.so ukiona kitu kimekaa moyoni kwangu muda mrefu basi jua ni kikubwa..

Btw ukishaona hizi 🥂🥂 nimekugongea basi ndo ujue View attachment 1662541
Duuh pole sana Arifu.. Ningependa kujipa majukumu ya kukuamsha😆Japo sijakizi viwango Vya TBS
Now uagize sasa🥂

sipendi mambo yaishe kijuba huwa napenda yaishe kiungwana...,
But yote ni mema🥂🥂🥂

Uwe na usiku mwema Na njozi Njema Mungu unayemuamin akulinde usiku huu♥️
 
Duuh pole sana Arifu.. Ningependa kujipa majukumu ya kukuamsha😆Japo sijakizi viwango Vya TBS
Now uagize sasa🥂

sipendi mambo yaishe kijuba huwa napenda yaishe kiungwana...,
But yote ni mema🥂🥂🥂

Uwe na usiku mwema Na njozi Njema Mungu unayemuamin akulinde usiku huu♥️
😊😊🥂🥂🥂..

Asante kwa kujali..Mwenyezi Mungu ataniamsha mapema tu nikisindikizwa na alarm.asante kwa mara nyingine tena.

Shukrani mkuu nawe usiku mwema na Mungu akulinde na kukutunza pia👏👏
 
Ni mpaja wa mwanamke au dume huo? Kaa chonjo Msukuma utakuja kula hata vilivyo haramu. Najua Wasukuma mkiona hiyo rangi ya mtume basi akili zinakata. Be careful !!!
Hahaha....mwanaume anaweza kuwa na mpaja mweupe na mlaini kiasi hicho mkuu Ubinadamu Kwanza ?

Ila sidhani mkuu huo mpaja wa mwanamke bhana

Habari za asubuhi mkuu
 
Ushaanza visanga sasa ..

Hebu acha hizo Habari love unanisikitisha ujue..inaonekana una moyo mkubwa kwa kuhifadhi hizi purukushani..hebu tupa kule mambo meusi...hivi unajua maisha ya furaha na amani yanavyokuwaga matraaaam eee eheeeacha kuwa mkiwa bila sababu.napenda kuona watu wako na furaha mda wote

Haya m’babe wangu ukuje online kama kawaida upatapo muda sawa eee..eheee maisha yenyewe mafupi haya leo tupo kesho hatupo


Hivi uliniambia unakunywaga gongo eeEhee tukijaaliwa uzima na afya nataka nikakuleweshe mpka uzime mwaka mpya...unaonaje linah wangu.Yani ni fulu kuzima tu hakuna namna

Nakupenda pia linahbaby wangu mzuri mzuri.kesho nitakununulia aisikilimu sawa ee...eheee


 
Back
Top Bottom