Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yameisha isha mbona kitamboo mkuu na wala mtu chake asizani ndo nitaacha kumpenda nampenda tu hvo hvo ilo ajue...ata hvo kupigwa ngumi na mumeo si ishara kwamba hakupendi mengine yanakuwaga mahaba tu
Wonderful and all the best.. Ila akifikia kukupiga ngumi usikubali tupo ambao tuko tayari kukupiga na mabusu
 
Km kwako haiwezekani basi kwangu ndio kabisa sitaki iwezekane kukususia Rafiki

Nafurahia uwepo wako humu la sivyo nishaaga
Yeuyeee🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️Kwa ufupi ni kwamba haiwezekaniki kabisa.

Nakushukuru mtu chake kipenzi changu rafiki 😘😘

Hata mimi naufurahia uwepo wako usipokuwepo naonewa sana😁😁ila fresh kibabe sana
 
Hahahaha, tuko pamoja, tena ktk laiti track
Woooozaaaaa🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
2D112BE2-A8F2-434D-AF3A-43E5CFF89139.jpeg
 
Back
Top Bottom