Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dunia sio yetu kiaje wakati tupo duniani? Ni ya nani hii dunia?

Nani kakuambia kwetu ni mbinguni na kwa nini iwe wachache tu watakaokwenda?
Kwetu ni Mbinguni
Sisi hapa ni wapitaji,si makazi yetu ya milele.

Wapi nimesema wataenda wachache??
Nimesema wachache watabahatika kwenda pasi kupitia kifo.

Soma Biblia utapata majibu ya maswali yote.
 
Back
Top Bottom