Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maneno ya busara. Tuko hapa kucheka na kusocialize tu. Don't take things personal and sometimes you have to roll with the punches as if you are Floyd Mayweather japo mtu akizidi sana pia rukhsa kumsuta na kumchana. Ni lazima pia kuwa strong hasa kwa jamii yetu hii yenye dharau kwa wanawake....na kuwa careful kutozoeana na watu kupita kiasi hovyo hovyo. JF ya sasa hii imejaa boys na wengi wao hata hawajui maisha haya yakoje so kuumiza mabinti kwao kawaida tu...
Hallo mamy am oky now, japo nilijisikia vbaya sana tu, najua nilistaili kuambia but kutukanwa mbuzi mmmh ilo neno halikunibaliki yaan lilinikera mpk kwenye firigisi kwa maan unaye muita mbuzi kuna watu wanamuona special sana yaan mhimu sana kwa maisha yao but kwa vile tuko hapa hatujuan kila mtu anakuwa anachukulia mwenzie poa ....me nimeseme nimesamehe kbsa mwaka unaisha huu kuna mawili kufa au kuishi inakuje nikifa na kinyongo na mtu itakuwa dhambi eeh so mtu chake am forgive your ila next time ata kama unataka kumtukana mtu tafuta tusi simple lisilo mkera mtu ili uonekane smart msitarabu lazima busara ziusike but ulicho kifanya wew japo ulijua umenitukan ila uliiweka wazi hruka yako mbali na kujua wewe ni mkimya usiye penda makuu kumbe sivo una vitu vyako nyuma ya pazia ila me nimekusamehe best kbsaaa kutoka moyoni

Hela pekee ndo kitu kinanipa amani mimi nakupenda m@mtu chake
Screenshot_20201230-074531.jpg
 
Hallo mamy am oky now, japo nilijisikia vbaya sana tu, najua nilistaili kuambia but kutukanwa mbuzi mmmh ilo neno halikunibaliki yaan lilinikera mpk kwenye firigisi kwa maan unaye muita mbuzi kuna watu wanamuona special sana yaan mhimu sana kwa maisha yao but kwa vile tuko hapa hatujuan kila mtu anakuwa anachukulia mwenzie poa ....me nimeseme nimesamehe kbsa mwaka unaisha huu kuna mawili kufa au kuishi inakuje nikifa na kinyongo na mtu itakuwa dhambi eeh so mtu chake am forgive your ila next time ata kama unataka kumtukana mtu tafuta tusi simple lisilo mkera mtu ili uonekane smart msitarabu lazima busara ziusike but ulicho kifanya wew japo ulijua umenitukan ila uliiweka wazi hruka yako mbali na kujua wewe ni mkimya usiye penda makuu kumbe sivo una vitu vyako nyuma ya pazia ila me nimekusamehe best kbsaaa kutoka moyoni

Hela pekee ndo kitu kinanipa amani mimi nakupenda m@mtu chake View attachment 1662630
Haya mbona yameisha wakuu kila siku tuu haya haya
 
Back
Top Bottom